Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Namtaja sio mudaNilikutajia jana!
Sasa usimwage mchele kwenye kuku wengii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namtaja sio mudaNilikutajia jana!
Sasa usimwage mchele kwenye kuku wengii
Nakujua wewe huna tabia hiyo☺️Namtaja sio muda
Naanza leo hiyo tabiaNakujua wewe huna tabia hiyo☺️
Nakutumia kitu pm ucheke😂Naanza leo hiyo tabia
OkayNakutumia kitu pm ucheke😂
Mambo yasiwe mengi
Kwamba???, ila hii nchi ngumu sana😂😂😂😂🤒.. Lamomy Njoo kwanza jiraniAlianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,
WHO IS NEXT? Maua Sama Komasava?
NB: HAO wote nimewataja hapo sasa wamepoa km UJI wa mgonjwa wameshapata visugulio vya JF sasa wametulia tuliii ukimuondoa Lamomy na Kapeace
😁😁😁Una taka kusema ni Gentamycin🤣🤣🤣
Ndio ukubwa huo, jinsi umri unavyoenda utazidi kuona kizazi kipya kimekosa maadili ,hizi ndio dalili kuu za kuzeeka mkuu.Hamna mkuu, mambo tu yamekua mengi nikiingia nasoma nyuzi juu juu na kutoka
Yeah ni kweli, kuna baadhi ya mambo unaanza kuyaona hayana maanaNdio ukubwa huo, jinsi umri unavyoenda utazidi kuona kizazi kipya kimekosa maadili ,hizi ndio dalili kuu za kuzeeka mkuu.
Uwo upofu c kwa namna uyo lknMapenzi upofu
Ndio huo wasasaUwo upofu c kwa namna uyo lkn
Usikute namimi nampenda Lamomy sema naogopa kumwambia.Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga nilimuomba afungue hajajibu sijui nilimfanyaje id yake inaanza na e.... Nataka awe mpaka mama wa watoto wangu.
Acha tu ila mm npo seriousMapenzi upofu
Mbn sijawahi kukukosea chochote nambie km nshawah kukuudhAchana nae huyo! Nishamjua ni nani
Ndio unayemtaka?Lucas Mwashambwa ww ulitumia njia gan kua na mazoea na ephen
EphenNdio unayemtaka?
Id yngu ina ban nkifunguliwa ntamuandikia uzi mzuriHii nchi ina Vijana wapumbavu sana,yaani unamtaka mwanamke na bado unamwandikia kwa mafumbo?
Kwanini usimtag hapa ili ajue anapendwa?,Wakati wewe unaendelea kusitasita,wenzio wanamsukumia mianzi ya kutosha!
Basi sawa. Kila la HeriEphen