Nampenda huyu memba

Nampenda huyu memba

Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba afungue ajajibu sijui nlmfanyaje id yk inaanza na e.... Nataka awe mbaka mama wa watoto wngu
Ulishawahi kumuona njee ya jamii forum
 
Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba afungue ajajibu sijui nlmfanyaje id yk inaanza na e.... Nataka awe mbaka mama wa watoto wngu
-alike zangu
-anijibu
-ajajibu

Kwa Kiswahili hiki labda ephen_ kaogopa
 
Mkuu sijaona jina langu kwenye uzi
Sio mimi
Huijui JF vizuri maana umekuja na moto sana. Tulia. Kuna wengi waliwahi kuja moto kama wewe lakini mwisho wake waliishia kuumbuka. Utajikuta unatrend huko kwenye PM za mabaharia wakipasiana picha zako pamoja na bei elekezi. Waulize wakongwe wa humu watakuambia.

Be very very careful!
 
Naipenda hii. Id lkn ananipuuzia nikilike nyuzi zake yy alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lkn anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu pm kafunga nlmwamba afungue ajajibu sijui nlmfanyaje id yk inaanza na e.... Nataka awe mbaka mama wa watoto wngu
Ukiandika neno 'mbaka' ndiyo huwa unamaanisha nini? Au ndiyo 'mpaka', yaani 'hadi'? Ni vizuri ukatilia mkazo umahiri wa kuandika.

Ova
 
Back
Top Bottom