Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ππππ¬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kwa lolote unapoingia vitani, kuna mdau hapo juu yeye kaambiwa kabisa, mdada anataka aruke fence π€£Unamaanisha nitapigwa sana vichwa? π π π
Basi achana nae, ukiona hivyo hataki wala hapendi unavyomfungulia nyuzi mbalimbali. Kuna njia nyingi za kumfanya mwanamke akukubali humu, hem jaribu hizo. Hii ya kufungua nyuzi ni ujinga tu naona.Hajbu comment zangu
Bs stomfungulia tena ntafungua id ya kuanza nae nlyonayo haipendBasi achana nae, ukiona hivyo hataki wala hapendi unavyomfungulia nyuzi mbalimbali. Kuna njia nyingi za kumfanya mwanamke akukubali humu, hem jaribu hizo. Hii ya kufungua nyuzi ni ujinga tu naona.
π π πJiandae kwa lolote unapoingia vitani, kuna mdau hapo juu yeye kaambiwa kabisa, mdada anataka aruke fence π€£
Na ananisugua kweli wala hujakosea mahi πππAlianza To yeye kipindi anajiita Bees Mom akaja Lamomy akijiita CuteWife akaja Leejay49 watu wakawa wanapapatika sasa ni zamu ya ephen_ nae atapita akishampata wa kumuagizia BAGA wakaenda Movie kisha wakapiga SELFIE,
WHO IS NEXT? Maua Sama Komasava?
NB: HAO wote nimewataja hapo sasa wamepoa km UJI wa mgonjwa wameshapata visugulio vya JF sasa wametulia tuliii ukimuondoa Lamomy na Kapeace
Yaani hadi nimeogopaππ.. Usikute wanajua hadi siku tunazosuguliwa na hatujuiJirani humu kuna washenga wanajua mpk anayenisugua π€£π€£π€£π€£
πππ hatariiiYaani hadi nimeogopaππ.. Usikute wanajua hadi siku tunazosuguliwa na hatujui
Unabaki tu unajishangaa au mimi sio mimiππ..πππ hatariii
Unaweza kupewa kisugulio humu na usikijue kipi??
πππ Aje atutajie kwanza visugulio vyetu.!!Unabaki tu unajishangaa au mimi sio mimiππ..
Vipi lakini unaendeleaje??
Habari ya siku nyingi?
Vizuri kama unaendelea vizuri, umemisika sanaπ,.πππ Aje atutajie kwanza visugulio vyetu.!!
Niko pouwa jirani
ππππ huyo jamaa anazingua!! Alitumiss tuchangie huu uziVizuri kama unaendelea vizuri, umemisika sanaπ,.
Hadi I'd yake nimeisahau, akivitaja nitagπππ
Itakua kweli maana tumeusogezaππππππ huyo jamaa anazingua!! Alitumiss tuchangie huu uzi
Sawa shemeji ngoja nivumilieShemeji tumekubaliana nikusaidie umpate shosti yangu, hilo pepo embu likemee haraka π