shansarie mamito..........ni kweli unachosema namupenda ile mbaya ,ila kipato chake si ishara ya upendo kwangu
naelewa maana yako amu bila pesa smtime mnaweza kugombana ila si twajuana vipato vyetu na matumizi so kila tunalofanya twaliweka mezani hakuna ulalamishi mfuko ukiwa mweume inajulikana ugomvi hakuna mi sio mtu mtu wa kununuliwa chips mayai siku hizi japo nilikula vya watu sana.
sasa hivi ni kujenga na viwanja ndo lugha ya mjini
Kaz imeshaisha cuz shansarie kasha onesha standing yake may b hadith ihamie kwenye fundo la maisha ya ndoa
nambie...weekend sijakuona ujue
kufundwa nishafundwa nawaitaji hao wanao achika kila siku nniwafunde wanione elimu ni bure nimesema
Kaka mambo vp?
Kuna huyu mdada anaitwa Mrembo by Nature..
Jamani kiwatengu....mpende mpenzi wako, ukipata nafasi ya kumpenda mpenzio mpende mpaka ulimwengu wote ujue.
Sie wengine waume zetu ni chenga......kutwa wako juu juu kama wameshiba futari ya magimbi.
CC: Chilli..., tedo.... Ben Saanane... Remote...na wenzako.
karibu sana uje mapema darasa likijaautakuwa huelewi
mie namtafuta kijana wa kunipenda
hata simuoni.....,
ha haaa, kwani rafiki wewe na UNDENIABLE ilishindikana kabisa kusuluhishwa?
Fixed Point....ha haaa, kwani rafiki wewe na UNDENIABLE ilishindikana kabisa kusuluhishwa?
ha haaa, kwani rafiki wewe na UNDENIABLE ilishindikana kabisa kusuluhishwa?
Hebu weka tangazo uone..naona siye wazee huna mpango kbs
....