Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

Nampenda Huyu Mwanamke Kupita Maelezo...

bado haijashindikana, usuluhishi unaendelea na hv sasa tunaendelea vizuri sana, inatia matumaini makubwa sana! Heaven on earth my darling i miss you so much, mwaaaaaaaaaaa!

ya ya ya! ndiyo udume huo, ungechelewa kidogo tu!! ingekula upande wako..
 
Last edited by a moderator:
Nakupenda sana Lady doctor na ahsante sana kwa support yako ninapokuwa katika shughuli zangu za kuijenga nchi kwa kuwavua magamba na kuwavisha magwanda waliopotea!

My love to you will NEVER die!

NAKUPENDA pia Arushaone, wewe ndiyo kila kitu kwangu.

Love u more than all the stars in the sky
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom