Nampenda ila mapepe....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?
 
lakini wewe si umeoa ulisema hapo zamani za kale.... Je ni mama watoto ndo ana matatizo au?
 
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?

With time and lots of love, atabadililika. Usimuache!
 
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?

Nenda nae taratibu atabadirika hila jitahidi sana kulitumia dushelele lako vizuri hili mtoto atulie huyo!
 
mnanilii vizuri... kila utachosema atakubali
 
Reactions: LD
mmmmh zigo la mavi na misumari hilo ukiliendekeza hautapata wa kukusaidia litakunukia mpaka unakufa....pole weeh
 
Naamini namnanilii vizuri; sijajua shida yake nini kutobadilika!

Haumnanilii vizuri bwana ndio maana nikakwambia litumie dushelele vizuri atakuelewa tu ukimfikisha kunako,haumfikishi ndio maana she got nothin to loose! Jitume kijana simamia kucha mkuu au kama hauwezi nitumie namba zake uone kama hajakutukana baada ya wiki tu!
 
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?

Ndugu yangu ivyo nani mkweli kati ya wewe na yeye?
Yeye anasema ndivyo alivyo ,hivyo ulimpenda hivyo hivyo.
Wewe unaona kama amebadilika sivyo alivyokuwa mwanzo.
Inawezekana mapenzi yako kwake ndio yaliyobadilika. kuwa mkweli wa nafsi yako kama ulikosea.
 
hapa naona nyumba inauzwa na wapangaji wake
Pole mwaya ndo maana anakufanyia vituko kumbe hakuna hati miliki

Hati miliki siku hizi ni chache bibie! Kwa hiyo unanishauri nini, nimchunie au?
 
Mwanzoni alikuwa na nidhamu ya woga, baada ya kuzoeana ndo vitabia vinaanza kuibuka taratibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…