Nampenda ila mapepe....

Nampenda ila mapepe....

Haumnanilii vizuri bwana ndio maana nikakwambia litumie dushelele vizuri atakuelewa tu ukimfikisha kunako,haumfikishi ndio maana she got nothin to loose! Jitume kijana simamia kucha mkuu au kama hauwezi nitumie namba zake uone kama hajakutukana baada ya wiki tu!

Mbona umeanza utani mkuu? Unataka ku-share kitu ki 1 na mimi? Nitake radhi mkuu, hapa natafuta ushauri, sitafuti mtu wa kuninyanganya na kunifanya nitukanwe.
 
Mbona umeanza utani mkuu? Unataka ku-share kitu ki 1 na mimi? Nitake radhi mkuu, hapa natafuta ushauri, sitafuti mtu wa kuninyanganya na kunifanya nitukanwe.

Ok nimekupata,I gotchu my dawg tumia kiungo vizuri!
 
Mwanzoni alikuwa na nidhamu ya woga, baada ya kuzoeana ndo vitabia vinaanza kuibuka taratibu!

Ndio hali ya kawaida hiyo. Kwenye Interview unajibu yale tu uliyoulizwa na mfanyaji wa interview anawajibika kuulizia yale maswali muhimu.Pia wewe ulipojenga uhusiano nae uliwajibika kuangalia yote ambayo unayaona ni muhimu kwako.Na kama uliyadharau kwa kuona labda urembo ndio kigezo chako basi pole kwa kuvuna ulichopanda.
 
upo mbali sana na ukweli..... piga shoka la maana halafu tishia kusepa!

Sasa ndg, kama m2 nampa mambo hadi anasaau kuvaa ile kitu ya ndani, kweli hapo kwa nini nisijiamini kwamba mambo nampa ya uhakika?
 
Mnasema tu jamani
mtoto wa uswazi ukipendwa na wa kishua tabu tupu
Full lugha gongana, kama si mvumilivu lazima akukimbie.

Vitu kama 'manina, mamaye, mngese ni viuganishi tu basi mtu anakooonda.
As long as ni wife material sioni kwa nini umuache lol
 
Ndio hali ya kawaida hiyo. Kwenye Interview unajibu yale tu uliyoulizwa na mfanyaji wa interview anawajibika kuulizia yale maswali muhimu.Pia wewe ulipojenga uhusiano nae uliwajibika kuangalia yote ambayo unayaona ni muhimu kwako.Na kama uliyadharau kwa kuona labda urembo ndio kigezo chako basi pole kwa kuvuna ulichopanda.

Naweza kata nikapanda kingine. unajua ndg, si rahisi kwenye interview kuuliza maswali yote. Niliuliza ya msingi; sasa yanayojitokeza ni kero, just
 
Mnasema tu jamani
mtoto wa uswazi ukipendwa na wa kishua tabu tupu
Full lugha gongana, kama si mvumilivu lazima akukimbie.

Vitu kama 'manina, mamaye, mngese ni viuganishi tu basi mtu anakooonda.
As long as ni wife material sioni kwa nini umuache lol

We ndo umenielewa vizuri, hayo maneno yanakera sana! Kila sentensi kutanguliwa na tusi inakera,
 
Kwa kauli zake, anasema kitu kinamtosha! wala sina wasiwasi kuhusu hilo!
AHHHAAH HALOOOOOOOOOOOOOO Mwanamme kujiamini babu kama unahakika na bidhaa yako usijifarague kwa nini? lol
 
Kama kazidi matusi ruka ukuta baaabu ndo atatia akili
 
jaribu kumbadilisha ,ikiwa anakupenda basi ata change , yaan zungumza nae ,
 
Back
Top Bottom