Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
- Thread starter
- #21
Haumnanilii vizuri bwana ndio maana nikakwambia litumie dushelele vizuri atakuelewa tu ukimfikisha kunako,haumfikishi ndio maana she got nothin to loose! Jitume kijana simamia kucha mkuu au kama hauwezi nitumie namba zake uone kama hajakutukana baada ya wiki tu!
Mbona umeanza utani mkuu? Unataka ku-share kitu ki 1 na mimi? Nitake radhi mkuu, hapa natafuta ushauri, sitafuti mtu wa kuninyanganya na kunifanya nitukanwe.