Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?
Naamini namnanilii vizuri; sijajua shida yake nini kutobadilika!
unajuaje kama unamnanilii vizuri????
Kubadilisha diet muhimu bibie! umenipata nafikiri
anadanganywa na makelele...
Naamini namnanilii vizuri; sijajua shida yake nini kutobadilika!
Kiukweli nampenda, ila sasa ana mapepe sana, maneno machafu, sijui kakulia mazingira gani.
Kumuacha inaniuma,
Nikijaribu kumshauri anadai ndivyo alivyo! Nifanyeje?
Ndugu yangu ivyo nani mkweli kati ya wewe na yeye?
Yeye anasema ndivyo alivyo ,hivyo ulimpenda hivyo hivyo.
Wewe unaona kama amebadilika sivyo alivyokuwa mwanzo.
Inawezekana mapenzi yako kwake ndio yaliyobadilika. kuwa mkweli wa nafsi yako kama ulikosea.
ha ha sasa small house anakupa mawazo namna hiyo? ni juu ya nini?Hati miliki siku hizi ni chache bibie! Kwa hiyo unanishauri nini, nimchunie au?