Yaaniii naumia sanaa [emoji17] [emoji17]Ahaaaaaa loh si utafte huku kwetu? Ni kweli huyo dada ni mrembo wa sura ila hapa tz kuna vifaa vya kumzidi. Labda kama unavutiwa na ufupi wake.
Dah mapenzi upofu pamoja ma yeye kuolewa tena mara mbili bado unachananyikiwa? Mapenzi kidumu chama cha mapenzi
Anapenda ale k yake khaaaa mengine storiKama unampenda Muombe Dua awe na maisha mazuri mwenyezi mungu amuepushie kila bala na misukosuko..
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama
NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
sasa we umempendea nini kidemu chenyewe kibaya hakina hata nyama,kwanza kifupi kama mpiga ngoma za sikinde
hebu rudia kusoma huu uzi wa mtoa mada zen njoo na jibu sahihi.Kupenda hakuangalii umbile bwna ni haki yake kumpenda kwan huyu dada hatakiwi kupendwa jamani kwa ajiri ya ufupi wake
Nasoma tena labda ckuelewa vzrhebu rudia kusoma huu uzi wa mtoa mada zen njoo na jibu sahihi.
Nimesoma tena mshaurini akamwambie maisha kitu kizuri ni kufanikiwa kupata unayoyapenda hata kama kwa wengine hayana maana. A good thing in life is to achieve what you want.Nasoma tena labda ckuelewa vzr
Kila mtu duniani ana mahali pake anapoamini anaweza pata furaha so na mshikaji ameona hapo kwan wewe unapopaona mwingine hapaoniMkuu bila shaka ww ni mgonjwa wa macho
Sichoki kuzitizama pia Sichoki kumuwaza hakika amenifunga minyololo bolibo zake japo kiduchu anastahili kuitwa mrembo katika hii duniaDaaah, pole sana mwana,,naona umejaza picha kwenyw album kama vitabu vya series,,,Ishia kungalia picha tuu,,utazoea tuu