Nampenda ila uwezo sina

Nampenda ila uwezo sina

Ahaaaaaa loh si utafte huku kwetu? Ni kweli huyo dada ni mrembo wa sura ila hapa tz kuna vifaa vya kumzidi. Labda kama unavutiwa na ufupi wake.

Dah mapenzi upofu pamoja ma yeye kuolewa tena mara mbili bado unachananyikiwa? Mapenzi kidumu chama cha mapenzi
Yaaniii naumia sanaa [emoji17] [emoji17]
 
sasa we umempendea nini kidemu chenyewe kibaya hakina hata nyama,kwanza kifupi kama mpiga ngoma za sikinde
 
Wewe ni mtz.ila umenifanya nimecheka sana kwani huyu dada si mnigeria.naomba unijibu kama ni mtz
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg
 
Kupenda hakuangalii umbile bwna ni haki yake kumpenda kwan huyu dada hatakiwi kupendwa jamani kwa ajiri ya ufupi wake
sasa we umempendea nini kidemu chenyewe kibaya hakina hata nyama,kwanza kifupi kama mpiga ngoma za sikinde
 
Ndio mm ni mtoto wa tandalee kwa mfuga mbwa binti ni mghana ila nampenda sana
 
Nasoma tena labda ckuelewa vzr
Nimesoma tena mshaurini akamwambie maisha kitu kizuri ni kufanikiwa kupata unayoyapenda hata kama kwa wengine hayana maana. A good thing in life is to achieve what you want.
 
Njoo kwangu uchukue nauli na mahari, uje siku yoyote isipokuwa jtatu,jnne,jtano,Alhamis,Ijumaa,jmosi wala jpili hizo siku sitakuwepo.
 
Njoo kwangu uchukue nauli na mahari, uje siku yoyote isipokuwa jtatu,jnne,jtano,Alhamis,Ijumaa,jmosi wala jpili hizo siku sitakuwepo.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Daaah, pole sana mwana,,naona umejaza picha kwenyw album kama vitabu vya series,,,Ishia kungalia picha tuu,,utazoea tuu
 
Daaah, pole sana mwana,,naona umejaza picha kwenyw album kama vitabu vya series,,,Ishia kungalia picha tuu,,utazoea tuu
Sichoki kuzitizama pia Sichoki kumuwaza hakika amenifunga minyololo bolibo zake japo kiduchu anastahili kuitwa mrembo katika hii dunia
Nsaidie mkuu nishanasa mimi
 
Back
Top Bottom