chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
umesoma lakini inaonekana kuna kitu haujakiona,hivi unaanzaje kumpenda mtu ambaye unajua huwezi kumpata wala yeye hawezi kukukubari tena ni mke wa mtu.Nimesoma tena mshaurini akamwambie maisha kitu kizuri ni kufanikiwa kupata unayoyapenda hata kama kwa wengine hayana maana. A good thing in life is to achieve what you want.
Mungu wetu ashindwi kitu, yeye alifanya maskini kuwa wafalme na wafalme kuwa vijakazi, fanya hivi mkuu... kuwa na imani na subila ndefu tuu .....Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama
NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
kuna kitu inatakiwa ukifahamu ndugu...uzuri upo machoni mwa anayetazama so kwangu mimi ni kibungo tu..Mkuu bila shaka ww ni mgonjwa wa macho
Sawa mtz mwenzangu ila maono yako ni makubwa mno kwan ni vema kuyatolea macho mambo ambayo angalau unaweza yafikia kwa kweli huyu mdada kwako ni tawi jingine kwan yupo mbali nawe pia ni star sasa utamfikiaje huko ghana wacha mengine yakupite hata kama una ya penda.Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama
NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
Ndo ukubwa huo,,jikaze tuuu,,Ruhusu tu moyo uwe inasukuma damu tuu,,au kameze kete tutusue,,,£ %Team kujilipua#* kwa MAHELA#%&##Sichoki kuzitizama pia Sichoki kumuwaza hakika amenifunga minyololo bolibo zake japo kiduchu anastahili kuitwa mrembo katika hii dunia
Nsaidie mkuu nishanasa mimi
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao
Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama
NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
Umempendea ublack beauty au flat screen yake?Habari MMU