chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
umesoma lakini inaonekana kuna kitu haujakiona,hivi unaanzaje kumpenda mtu ambaye unajua huwezi kumpata wala yeye hawezi kukukubari tena ni mke wa mtu.Nimesoma tena mshaurini akamwambie maisha kitu kizuri ni kufanikiwa kupata unayoyapenda hata kama kwa wengine hayana maana. A good thing in life is to achieve what you want.
and there are things in life which you will never achieve no matter what.
either mtoa uzi ameleta utani au anafanya masihara na mimi nikamjibu hivyo hivyo kulingana na dhamira hizo