Nampenda ila uwezo sina

Nampenda ila uwezo sina

Nimesoma tena mshaurini akamwambie maisha kitu kizuri ni kufanikiwa kupata unayoyapenda hata kama kwa wengine hayana maana. A good thing in life is to achieve what you want.
umesoma lakini inaonekana kuna kitu haujakiona,hivi unaanzaje kumpenda mtu ambaye unajua huwezi kumpata wala yeye hawezi kukukubari tena ni mke wa mtu.

and there are things in life which you will never achieve no matter what.

either mtoa uzi ameleta utani au anafanya masihara na mimi nikamjibu hivyo hivyo kulingana na dhamira hizo
 
Endelea kumpenda tu, ila suala la kut*****a itabidi wenye hela wakut*****ee.
 
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg
Mungu wetu ashindwi kitu, yeye alifanya maskini kuwa wafalme na wafalme kuwa vijakazi, fanya hivi mkuu... kuwa na imani na subila ndefu tuu .....
 
Mkuu bila shaka ww ni mgonjwa wa macho
kuna kitu inatakiwa ukifahamu ndugu...uzuri upo machoni mwa anayetazama so kwangu mimi ni kibungo tu..

halafu umenikumbusha mbali sana kipindi icho nipo o-level wanamuziki kama wa kina Eve-e,christina Agurela,Pink,lil.kim na wengine wengi,yaani nilikuwa nampenda kimapenzi kabisa christina Agurela mpaka namuota hasa lile tege ikapelekea mpaka leo niwe napenda matege
 
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg
Sawa mtz mwenzangu ila maono yako ni makubwa mno kwan ni vema kuyatolea macho mambo ambayo angalau unaweza yafikia kwa kweli huyu mdada kwako ni tawi jingine kwan yupo mbali nawe pia ni star sasa utamfikiaje huko ghana wacha mengine yakupite hata kama una ya penda.
 
Sichoki kuzitizama pia Sichoki kumuwaza hakika amenifunga minyololo bolibo zake japo kiduchu anastahili kuitwa mrembo katika hii dunia
Nsaidie mkuu nishanasa mimi
Ndo ukubwa huo,,jikaze tuuu,,Ruhusu tu moyo uwe inasukuma damu tuu,,au kameze kete tutusue,,,£ %Team kujilipua#* kwa MAHELA#%&##
POLE KWA MATESO,,
 
Kwa sasahivi huwezi kumpata, ila msubirie uzeeni mkuu.
 
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg

Mwambie akupe quotation/profoma invoice mkuu
 
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg
Umempendea ublack beauty au flat screen yake?

Mbona bongo kuna watoto wakali sana kuliko huyo mkuu?
 
Rudi usingizini uendelee kuota....!! [emoji23]
 
Habari MMU
leo natoa ya moyoni
Nampendma sana JACKIE
but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina
Za kunifikisha kwao

Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini
Ila kwa Jackie ntazama

NIPENI USHAURI JAMANI NIFANYE NN ILI NIMPATE
MAANA HATA # YAKE YA SIMU SINA [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

JACKIE NI HUYU HAPA CHIN
86a984fa945a5676db92656ca998a8b6.jpg
3838df3adcf1764f977c1a6bb1d4a905.jpg
106a6ac3450ad6869321cfecf8e6fe7c.jpg

UNGEWEKA PICHA TAFADHALI!
 
hzo hisia ni za kujiendekeza mkuu,live reality mzee utafeli,haha! ila zpo za hvyo,me nilishampenda beyonce hadi nikamchukia jay z.ila nilipokaa nikatfakari nikaona ni ujinga usio na kipimo.
 
Back
Top Bottom