Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
so umeamua kuwa BABA MZAZI sio, teseka kwanza......
 
View attachment 3671076
Ni kitoto cha 2000 nimekuwa nikikipea kila kitu nimetupa sana hela zangu ila amekuwa akiniweka kwenye ufriend zone siku hizi dah nashindwa nifanyaje anko wenu na mtoto nampenda kinoma yaani kwangu kila kitu hakosi kama ni hela natoa namgharamia kodi dah! Au kanasa kwa wototo wa mjini
Uandishi wako unaonesha bado
1. We ndio unauhitaji naye
2. Bado inaonesha you are a BOY and not a man, una.simp. hii ni ishara kwamba, aidha we bado mvulana au una akili za kivulini
3. Change or perish
 
NIlisha mpiga chini huyu dogo
 
Back
Top Bottom