Nampenda lakini hana shape wala kalio, nifanyaje?

Sio mwanamke na nandhani ungesema hakuna binadamu mkamilifu ingekaa poa zaid
Hivi wanaume kwanini hamtaki kukubali kuwa hakuna mwanamke mkamilifu? Mbona mnalazimisha wanawake wawe wakamilifu kwanini hamtaki kuvumilia mapungufu ya wanawake?
 
Kabla ya kuweka mwenye kawaulize waliooa kisa shepu mambo n vp?

Hayo maumbo yanabadilika......

Mwisho, "...tunaoa tabia...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…