Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Baba Mkwe hebu acha mambo za kubaniana,ng'ombe wameshuka leo usiku,nitamtuma mshenga a.k.a Mchungaji Bujibuji aje ili tuweke mambo sawa....halafu wale ng'ome 15 waliobaki utakuja kuwachukulia wapi??kumbuka ulisema nikupatie offline
Cc Zion Daughter
C.c Mwa J
Ahahahah..Nimekubali mkuuHa ha ha
Tunapendana....
Mtoto wa Kitanga wala huna presha imebakia kula ndafu tu.Go on na Ben wako.
majany pepo la uwongo likutoke, ushenga wako kwa Zion Daughter nimeuanza lini?
Kukubariki haina maana kuwa uanze kunitumikisha.
Zion Daughter,Dear wenzio tuna hamu na mnuso..Tupe msimamo maana ake mie sielewi elewi..
Hata hivo naona kamanda Ben Saanane ana nyota kali sana
Hata mie naona nitangaze rasmi nipo upande wa Ben Saanane .Unastahili kabisa kuwa mama mheshimiwa. hao kina mjeda nina mashaka nao. wana masharti kibao utakonda bure.
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage.
Kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa.
Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B.
"Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.
kila la heri mamito,na nikutakie upembuaji mwema
usijesahau ukachanganya chuya na mchele!
Asante Mamito wangu jamani.
Yani me hoiiii
MI mwenyewe nimeona nibwage tu manyanga, ila kwa roho safi ninamuunga mkono Ben Saanane achukue hilo jimbo la Madame B. Wanajeshi tatizo lao ni moja tu wanatumia ngumi kufikiria. Hata akikwambia nakupenda ni lazima ngumi zitembee sana, akikuambia asante unakuwa umeshapigwa mbata za kutoshaHata mie naona nitangaze rasmi nipo upande wa Ben Saanane .Unastahili kabisa kuwa mama mheshimiwa. hao kina mjeda nina mashaka nao. wana masharti kibao utakonda bure.
majany pepo la uwongo likutoke, ushenga wako kwa Zion Daughter nimeuanza lini?
Kukubariki haina maana kuwa uanze kunitumikisha.
Jamani Jamani, Kwanza Kabla ya yote Napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru Hawa wafuatao kwa kuwa nae Mtarajiwa wangu.........
Napenda niwashukuru: mwaJ, Kaunga, Nicas Mtei, Bujibuji, Dada gfsonwin, ChaiCHUNGU, mtengwa, Zion Daughter, Smile, KakaKiiza, watu8, grand-mal, Paloma, Kiranga, kbm, gobore, BONGOLALA, Yegoo, Passion Lady, bucho, kiwatengu, Crashwise, ndetichia, Fidel80, PakaJimmy, Abdulhalim, Vin Diesel, tungibwaga, giyamo, LiverpoolFC, Preta, Daniel poul, Mvaa Tai, BADILI TABIA, UNDENIABLE, Tetra, HorsePower ,Tabalo, Denis Kasekenya, MUYOOL, Mwita Maranya, maweiwe, hovyohovyo, twendekazi, Filipo na gakato.
Jamani Ninaamini nyie ni wakubwa na Mnafahamu Kitu kiitwacho MAPENZI,
MAPENZI yanaumiza, MAPENZI tanatesa, MAPENZI yanaua.
Nashukuru Kumpata Mtu ambae amewasilisha Hisia zake kwangu, kwa maana nami sasa najiona mwenye thamani.
Nawashukuru sana kwa Michango yenu, Najua kuna wengine Mmeponda kwa kitendo cha kiplagati26 kunitamkia hisia zake, najua hizo ni Changamoto tu katika Jukwaa kama hili, kwani sidhani kuna ambae hapendi kuona mwenzake akiingia kwenye uhusiano.
Dada gfsonwin............Napenda nikushukuru sana kwa kuwaweka wazi hao akina ChaiCHUNGU ambao wametokea kwenda against na kiplagati26 wangu,
Nadhani wewe ni zaiudi ya Somo wangu.
Ila Jamani, Napenda kuwaambia tu kuwa Wanaume wengi wa Humu JF.......mhhhhh!!!!!!!
Kuna baadhi ni waongo na wengine ni wakweli............. Ila naamini mimi ni mtu mzima, Nitapembua Chuya ili nipate mchele safi.
Jamani Ni bora kulitoa lililo rohoni ili uone uwepesi wake.
Pia magoti tukukamue mapepoMkuu mie na wewe hatuna ugomvi!!!!:rockon:
Akileta maji ya kunywa naanza kulia kwa kelele, taka tumbuaaaaaaaaaa.....Pia ngoja nimtafute mdogo wangu amu aje akae na wewe karibu akikutazamia hali yako kipindi hiki kigumu. Ila sasa na wewe hilo domo lichangamshe! Sio nakuletea mtu wa kukupepea unashindwa hata kumuomba akuletee maji ya kunywa. Lol!
eeh..eh...yaani hadi Zion Daughter anaenda kwa sangoma......mungu wangu,Aunt Kongosho hebu njoo umtetee mwanao,hivi mama yake mwaJ anajua haya???
napenda watu wanaojitambua kama wewe.mkuu mambo yakikolea usije ukaanza tena kumpa Madame B masharti kama huyu CHAI CHUNGU ukamuacha best yangu na mabango juu!!!!!!!!!!!!!!
mbona mimi Evelyn Salt simpi masharti kibao ,yeye muda wote yupo jf...