Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Shemejiiiiiiiiii

mgambo-1.jpg

Ndo huyu kumbe...!!
 
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage.

Kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa.

Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B.

"Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.

Maumivu ya kichwa huanza poole pole...
 
eeh..eh...yaani hadi Zion Daughter anaenda kwa sangoma......mungu wangu,Aunt Kongosho hebu njoo umtetee mwanao,hivi mama yake mwaJ anajua haya???
majany usitake kumsingizia binti yangu mambo ya usangoma. Zion Daughter ni binti mcha Mungu yeye anamtegemea mwenyezi Mungu tu na ndio maana hata wewe pamoja na usharobaro wako umemshindwa kumng'oa. Kama unataka mbinu za kumng'oa inabidi uongee vizuri na sisi wazee sio kupiga kelele mitaani.

Kwakuwa leo tunazungumzia mambo ya rafiki na dada yangu mpendwa kupata Madame B "kiburudisho" cha moyo wake, hayo mengine tutayazungumza panapostahili.
 
Last edited by a moderator:
majany usitake kumsingizia binti yangu mambo ya usangoma. Zion Daughter ni binti mcha Mungu yeye anamtegemea mwenyezi Mungu tu na ndio maana hata wewe pamoja na usharobaro wako umemshindwa kumng'oa. Kama unataka mbinu za kumng'oa inabidi uongee vizuri na sisi wazee sio kupiga kelele mitaani.Kwakuwa leo tunazungumzia mambo ya rafiki na dada yangu mpendwa kupata Madame B "kiburudisho" cha moyo wake, hayo mengine tutayazungumza panapostahili.
Thats my daddy..I am always proud of you and i mean it.Love you daddy....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom