Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Mkuu mie ujio wa komando kwenye familia yetu nimeupokea kwa mikono miwili...najua wale vibaka wa Kino Clain watakuwa wanapita mbali kabisa na kwetu

Tuko pamoja sana dadangu Madame B. Bahati mbaya bado sijamuona mdau watu8 lakini Nicas Mtei nimemuona amesononeka sijui hakupenda uende kwa komando!!??

c.c Mtambuzi-hivi bado umelela wewe mzee???
 
Mkuu mie ujio wa komando kwenye familia yetu nimeupokea kwa mikono miwili...najua wale vibaka wa Kino Clain watakuwa wanapita mbali kabisa na kwetu
watu8
Wote mnaounga mkono hili nawa-note down! hivi viherehere vyenu mtajutia upepo ukishapita.....
 
Last edited by a moderator:
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage.

Kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa.

Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B.

"Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.
in between...sio mwanamke wala mwanaume.........hujajua jinsia yake halafu unatiririka mambo kibao.....ilipaswa ujue jinsia yake kwanza......we mtu anaitwa madame kabisa halafu unauliza jinsia yake kweli......
 
eeh..eh...yaani hadi Zion Daughter anaenda kwa sangoma......mungu wangu,Aunt Kongosho hebu njoo umtetee mwanao,hivi mama yake mwaJ anajua haya???

Hapana dia mie ni Binti sayuni kwa sangoma kwangu mwiko.. KakaKiiza alimaanisha kule Leo tupa hapa...naamini kikao kijacho tutaenda wote.
 
Last edited by a moderator:
kiplagati26 naomba tusizoeane...... Eti 'Nampenda awe mke wangu,eti Hisia za mapenzi'.jiangalie sana!

Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO

Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?

Get lost!

Mpenzi wangu wa kumoyo Ben Saanane, najua unapata wivu sana pale uonapo tunda lako tamu linachumwa mtini.
Ila amini niwewe mmoja tu.
Hahaha!
Mapenzi yana nguvu dah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom