Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nampenda nami pia kama alovyonisapoti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalum
Post sent using JamiiForums mobile app
Kivipi tena mkuu?UCD UMENICHEKESHA SANA
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani yeye alikuambia anakupenda au unajitongozesha mkuu?Simpendi
Sina jinsiaSwali kidogo tu mkuu; We ni me au ke?? Wampenda kama nini au nani?
takataka!Mfyuuuu!! Wewe ndiyo **** kuliko wote duniani...!!
Utoaji wa zaka na sadaka husimamiwa na watu special walio wekwa wakfu kwa jambo hilo sio kila mtu tu.... Mimi naamini hapo alikuwa Kwenye harambee lakini sio ukusanyaji wa zaka na sadaka.Waumini hawa si takataka tu, kwani wanajitambua wao ni nani, wako wapi na wanafanya nini? Si majuha tu!
Ndege wa mabawa sawa hutuka pamoja.. birds of the same feathers fly togetherNami nampenda sanaaaa, uongozi wake ni raha tupu.
Sikosi kusikiliza spichi zake.
Nimejua kumsoma kwa sanaaaa tu
Magufuli oyeeeee
Ndege wa mabawa sawa hutuka pamoja.. birds of the same feathers fly together
nipo hafungwi mtu hapa. bahati nzuri mahakama zimekataa uonevu wa "Mungu" wakoHa ha haaaaaa
Upo?
Vipi wa rushwa ni tag wakishasomewa kifungo.
Sina jinsia
nipo hafungwi mtu hapa. bahati nzuri mahakama zimekataa uonevu wa "Mungu" wako
NimendeKitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?![]()