NAMPENDA MAGUFULI WEWE JE?

NAMPENDA MAGUFULI WEWE JE?

Kitengo cha mawasiliano ikulu pamoja na mnikulu wangekuwa professional wasingeruhusu hili ama lingepangiwa utaratibu maalum

Post sent using JamiiForums mobile app
Kwanini?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Swali kidogo tu mkuu; We ni me au ke?? Wampenda kama nini au nani?
 
Hizi PESA tumeona zitatumika kurepea hst pale chato

sent from my iPhone 6
 
Waumini hawa si takataka tu, kwani wanajitambua wao ni nani, wako wapi na wanafanya nini? Si majuha tu!
Utoaji wa zaka na sadaka husimamiwa na watu special walio wekwa wakfu kwa jambo hilo sio kila mtu tu.... Mimi naamini hapo alikuwa Kwenye harambee lakini sio ukusanyaji wa zaka na sadaka.
Ikiwa ni machangisho mengineyo sawa ila sio mambo matakatifu na hili ni vema kuwa makini maana kushika vyombo vitakatifu unaweza geuka Akani WA biblia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nami nampenda sanaaaa, uongozi wake ni raha tupu.

Sikosi kusikiliza spichi zake.

Nimejua kumsoma kwa sanaaaa tu

Magufuli oyeeeee
 
Nami nampenda sanaaaa, uongozi wake ni raha tupu.

Sikosi kusikiliza spichi zake.

Nimejua kumsoma kwa sanaaaa tu

Magufuli oyeeeee
Ndege wa mabawa sawa hutuka pamoja.. birds of the same feathers fly together
 
Asiyempenda ameze jiwe la moto

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kitu alichokifanya leo katika kanisa la parokia kimenifanya nimende bure...kitu gani wewe unakipenda toka kwake?
172a54cf381eafe9745a9967f30a31de.jpg
Nimende
Nimpende, [emoji16][emoji16][emoji16]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom