Nawapenda woteYuko na bwana ake huko anauguza... ngoja aje
EverywhereHere we go... One man about to collapse
Alafu nkisoma iwejesoma huu uzi mkuu acha kusumbua watu
Get well soon Analyse
umeshasoma kwani?Alafu nkisoma iweje
We ndio umeelewaKwamba umedhamiria kweli au changamsha genge!
πππππππ
Mdg angu ngoja nikupe Ushauri..Acha wivu hunijui skujui
hakuna matata mkuu!We ndio umeelewa
Sipo serious kama unavyofikiriMdg angu ngoja nikupe Ushauri..
1- Humu sio FB, behave
2- Usiwe lofa/fala wa Mapenzi.. usisimp kijana.
3- Tafuta HELA..
4- Matusi hayasaidii.. jenga hoja solid..
Mwisho kabisa, Mtoto wa watu anauguza Bwana ake yupo juu ya mawe...