Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha haha hiyo nayo nzuri unachora na kopaMimi nimependa ile 'Wako mtiifu na akupendae!'
Hahahaha! Ametumia coke baridiii kufikisha ujumbe!Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
rubii!!
nimekumiss sanaNAAM
siku nyingine nikikuita uitika ..habee/ abeee jamaa wasishtuke sawa rubii!!NAAM
nimekumiss sana
mtani naandaa bajeti hapaMtaniiii atoe kiingilio huyoooo.....dili mkononi hiloooo
niko bien sana..hebu chungulia pm kidogoMe too! uko vyema?
mkuu acha kupeperusha ndege wangu banaMwambie wewe ni mtoto wa kichaga pesa mbele kwanza mapenzi awaachie njiwa..
Habari wanajamvi?
Rejea kichwa cha habari tajwa.
Mimi ni kijana wa kiume ambae ninafarijika kila nikiona post au hread za Miss Chagga na kwakua mimi sio mwanamziki nimeshindwa kumuimbia nyimbo,kwakua mimi sio mwanasoka nimeshindwa kufunga goli nikaonyesha tshet yenye ujumbe lakini kwakua mimi ni mwana JamiiForums hii, nimeamua kufunguka ajue kuna mtu anampenda sana na natamani nimjue tena ana kwa ana.
Wako mtiifu na akupendae
Bomouwa
niko bien sana..hebu chungulia pm kidogo
sasa hii si ndo yenyewe uliyoitaja kama ungebahatika kuona pm za jf ungefurahi sanaMimi ni mchagga wa marangu nimeoa na ninamtoto ila sijampenda kama mnavodhani.. bahati mbaya sipo mtandao wa kijamii zaidi ya whatsapp na jf...bila kusahau email addresses baaas