Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
Hahahaha! Ametumia coke baridiii kufikisha ujumbe!
 
Muongozo wa sipika tafadhali:

#1. Kuchat na miss chaga inbox na kubadilishana contacts $50

#2. kuonana (book an appointment) &125 vinywaji na chakula ni added advantage.

#3. Kupiga nae picha $50

#4. Kumu~hug $75

Total.................$300

~~~~~~~~mwisho wa huduma ~~~~~~
cc: bomouwa
 
Habari wanajamvi?

Rejea kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana wa kiume ambae ninafarijika kila nikiona post au hread za Miss Chagga na kwakua mimi sio mwanamziki nimeshindwa kumuimbia nyimbo,kwakua mimi sio mwanasoka nimeshindwa kufunga goli nikaonyesha tshet yenye ujumbe lakini kwakua mimi ni mwana JamiiForums hii, nimeamua kufunguka ajue kuna mtu anampenda sana na natamani nimjue tena ana kwa ana.

Wako mtiifu na akupendae

Bomouwa
083b9aec235316ed3472e5f45f6dfe93.jpg
 
Mimi ni mchagga wa marangu nimeoa na ninamtoto ila sijampenda kama mnavodhani.. bahati mbaya sipo mtandao wa kijamii zaidi ya whatsapp na jf...bila kusahau email addresses baaas
sasa hii si ndo yenyewe uliyoitaja kama ungebahatika kuona pm za jf ungefurahi sana
 
Back
Top Bottom