Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Inno sasa huo ni uharibifu wa kijinsia na hisia... mbona siku zote usifunguke mpaka upate mteremko hapa... yani niuze vitumbua na wewe uuze vitumbua?ebu mfate Rubii
Hahahaha! Ametumia coke baridiii kufikisha ujumbe!
 
Muongozo wa sipika tafadhali:

#1. Kuchat na miss chaga inbox na kubadilishana contacts $50

#2. kuonana (book an appointment) &125 vinywaji na chakula ni added advantage.

#3. Kupiga nae picha $50

#4. Kumu~hug $75

Total.................$300

~~~~~~~~mwisho wa huduma ~~~~~~
cc: bomouwa
 
 
Mimi ni mchagga wa marangu nimeoa na ninamtoto ila sijampenda kama mnavodhani.. bahati mbaya sipo mtandao wa kijamii zaidi ya whatsapp na jf...bila kusahau email addresses baaas
sasa hii si ndo yenyewe uliyoitaja kama ungebahatika kuona pm za jf ungefurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…