Nampenda Miss Chagga, ingawa simjui

Natamani sana Miss chagga angejua ninafuraha kiasi gani japo anapanga budget ama kwa hakika akibahatika kuniona atajuta kwanini hakunifahamu mapema.
 
Mimi ni mchagga wa marangu nimeoa na ninamtoto ila sijampenda kama mnavodhani.. bahati mbaya sipo mtandao wa kijamii zaidi ya whatsapp na jf...bila kusahau email addresses baaas
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Natamani sana Miss chagga angejua ninafuraha kiasi gani japo anapanga budget ama kwa hakika akibahatika kuniona atajuta kwanini hakunifahamu mapema.
 
miss Chaga mshabiki wa Chelsea yeye anamjua drogba tu
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kwanini unanifanyia PNC?
ukiona vinaelea[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
PNC1 hapo cha kulike ni nini?unajua uchungu na maumivu ya moyo wewe...
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] umeona sasa umeingia mulemule kuwa ulikuwa unahtaj nafas ya zaid ya kujuana
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Kwanini unanifanyia PNC?
Uzuri kuna session ya pingamizi
 
Natamani sana Miss chagga angejua ninafuraha kiasi gani japo anapanga budget ama kwa hakika akibahatika kuniona atajuta kwanini hakunifahamu mapema.
ngoja mwenye mke aje..... utawam bwa km yesu msalabani.....
we humjui unampenda je mwenye mali alihaha kias gan. mPaka mtoto akaingia line af ww ulete mambo ya kupandia dau sahz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…