Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!! Mimi nikosekane tena!!!Hahaha nilitaka kushangaa Paprika nisingekuona hapa
Hapo mwisho tulikua tunamalizia
Kama karatasi peeppea
Kama kitenesi dundika
Unapepea huku unadunda dah
Utoto raha sana
Suadiiiiiina!
Suadiiiiiiina!!!
Nampenda suadina, sudina, suadinaaa
Mama yake namjua, namjua, namjuaaa
Anauza vitumbua, vitumbua, vitumbuaaa
.......... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha haha me sijaimba hzi nyimbo atii mbona sijui kujibuNana nanaaa
Nana
Nani aingie katiii
Nana
Acheze soolooo
Nana
Acheze mchikichulee
Zoa maganda
Peleka Uganda
Yamepanda bei sukuma waa miss chagga kaulegezaaaaaaaaa
Tehteh
Utoto raha sana
Naule wa nana unaukumbuka??
Basi hiyo sukuma waaaa!Nana nanaaa
Nana
Nani aingie katiii
Nana
Acheze soolooo
Nana
Acheze mchikichulee
Zoa maganda
Peleka Uganda
Yamepanda bei sukuma waa miss chagga kaulegezaaaaaaaaa
Tehteh
Utoto raha sana
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Khakhaakhaaaaa
Wewe teinaaaaaa shogangu nakujua tangu enzi za kuchapwa dama mdako shekirede na mputo
Besti pole sana jamani kumbe ushatoka!!mabata madogo madogo yanaogelea ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kutembea bila viatu ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa ktk shamba la zuri la bustani
mahondaw umenikumbusha utoto ila nilikua napenda zaidi hii michezo hii kombolela na kibaba na mama hivi hakuna nyimbo zake [emoji23][emoji23]
mmh gorofa umenipaisha sana .. hhahaha mama yangu alikuwa mkali hakuna kuchezaLol hii sanasana tunaijua sie wa kawaida sanaa
Nyie wa magorofani mtachezea wapi!!
nenda facebook katangaze mkuu.Mwenye GROAP LA WhatsApp aniunge 0767344840
shost nilitoka jana acha tu umenikumbusha utotoBesti pole sana jamani kumbe ushatoka!!
Hongera sana kumbe nawewe ni mdau wa michezo ya utotoni eeeee
Naule wa
Maua mazuri yapeeendeezaaa
Ukiyatizamaa
Yanameremeetaa
Hakuna mabayaaa yasiyopendezaaa
Nzuu Nzuu Nzuu
Wemama nyuki lia Wee
Nenda mbali katafute ua zuri la chakula
Nzu nzuuu Nzuu Wemama nyuki lia weee
aiseeh iyo avatar ako..inaonesha una mashauzi km nyau vile,..ni kwel mkuu amaWatu na watu wao.