Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha sie ilikua ukisika sukuma waaa mnakaa wote chini kwa pamoja ha ha ha nmeukumbuka aise hako ka mwimboNaana Nana
Nani aingie katiii
Nana
Acheze soolooo
Nana
Acheze mchikichulee
Zoa maganda Peleka Uganda Yamepanda bei sukuma waaaa Bonny kaulegezaaaaaaaaa
Huu pia hapo kwenye Zoa maganda Peleka Uganda mpaka mwisho ni ful kukatikaa
Usijali rafikii miss chagga hatudhuriani nae kabisaBinadamu ni hatari sana, watamuiba tu hasa huyu shoga yako miss chagga.
Ha ha ha sie ilikua ukisika sukuma waaa mnakaa wote chini kwa pamoja ha ha ha nmeukumbuka aise hako ka mwimbo
Ila kizaz cha sa hv sijui kinapotelea wapi hakuna tena ile chemistry ya watoto wa mtaa mmoja kukaa pamoja kucheza
Ha ha ha ha una wazimu wewe dah nmecheka sana et acha neno weka njikii dahZama zimabadilika kabisa
Sikuhiz utasikia kitoto kidogooo kimekazana
Acha neno eka njikii acha neno eka njikii
tuna azimanaUsijali rafikii miss chagga hatudhuriani nae kabisa
hapo ndiyo napo kupendea shoga yanguHata trisome twende tu mi nawewe teinaaaaaa!!!
Hizi ndio lyrics zake jiangalie mlikuwa mnaimbaje sasa utotonHalafu Paprika ule wa byshoo ule spellings zake zinatatanisha kweli
Byshoo I love you baby ......
Huko mbele huko duhhhhhhhhhhh
Utoto raha sana
Poa poa mahondaw.Usijali rafikii miss chagga hatudhuriani nae kabisa
Watoto wangu nyieeahaaahahaaa nilikua sipitwi aiseee
Haha lol ngoja niendelee hapo mwisho tulivokua tunaimba sisi sasa uchekeHizi ndio lyrics zake jiangalie mlikuwa mnaimbaje sasa utoton
By so by love to baby
(I swore I love you baby)
To baby to the sa
(You gave that to the sun)
The saa to de yona
(The Sun threw me yonder)
The yona to de meh
(And yonder I became a man)
De meh phude phude
(And then I grew threw that)
Ha ha ha ha embu weka lyrics zenu sasa tuoneHaha lol ngoja niendelee hapo mwisho tulivokua tunaimba sisi sasa ucheke
Dah Utoto raha sana
HahaahahaWatoto wangu nyiee
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mimi baba yenu
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sina nguvu tena
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Za kuua simba
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Simba ni mkali
Eeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aliua bibi
Eeeeeeeeeee
Akaua babu
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Akaua mjomba
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Akaua Shangazi
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Simba huyooookoooooooo
Haya watoto wangu wooooteeee kimbilieni kwangu vuuuuuuuuuuuuuuuupp kwa baba
Soma ulicho mjibu miss chagaKufanya nini!!! Mbona kauli tenge hii??