fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Kuna mwingine kibwagizo kinasema bingili bingili bingili, unaimbwaje huo?Mie teinaaaaaa hebu nikumbushe ni
Wimbo gani niuimbe hapa nikishindwa pap atanisaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwingine kibwagizo kinasema bingili bingili bingili, unaimbwaje huo?Mie teinaaaaaa hebu nikumbushe ni
Wimbo gani niuimbe hapa nikishindwa pap atanisaidia
NakumbukaUkuti ukuti wa Nazi wa Nazi...dah malizia mahondaw
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nakumbuka
Hahahahahaha mie teinaaaaaaaa
Ukuutiii uukuutii
Wa naazii wa naazii
Mwenzeetuu Mwenzeetuu
Kagongwaa kagongwaa
Na niinii na niinii
Na gaarii na gaarii
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa mama yake
Yeeesaa Yeeesaa yeeesaaaaaaa
Waaaaaaaaaaaaaaaqaa
Baado kidogo
Yeeesaaaaaaa yeeesaaaaaaa Yeeesaa
Waaaaaaaaaaaaaaa Bonny unakumbuka nahuu??
Ahaa huo tena hapo tumpeleke hosptali mnataja ile maarufu ya eneo lenu halafu yesaaa yesaaaa yeeeeh hapo vidada vinarusha visket vyaoNakumbuka
Hahahahahaha mie teinaaaaaaaa
Ukuutiii uukuutii
Wa naazii wa naazii
Mwenzeetuu Mwenzeetuu
Kagongwaa kagongwaa
Na niinii na niinii
Na gaarii na gaarii
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa mama yake
Yeeesaa Yeeesaa yeeesaaaaaaa
Waaaaaaaaaaaaaaaqaa
Baado kidogo
Yeeesaaaaaaa yeeesaaaaaaa Yeeesaa
Waaaaaaaaaaaaaaa Bonny unakumbuka nahuu??
Dah Utoto raha sana
Come on my girl, nyie ma sistadu mnajifanya ma old skuli.mabata madogo madogo yanaogelea ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kutembea bila viatu ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa ktk shamba la zuri la bustani
mahondaw umenikumbusha utoto ila nilikua napenda zaidi hii michezo hii kombolela na kibaba na mama hivi hakuna nyimbo zake [emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ulikuwa hata huelew unachoimba unaenda na melody tuMi wa english medium nilikua najitahidi kupatia tumaneno [emoji23][emoji23][emoji23]
Bysho I love you baby
To the baby to the saa
The sa to the yona
To the yona to the mi
The mi to the pushdea
Terewa tu triii fo
Terewa... Takata kona!!!
[emoji4]Sina wa kuimbia
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HeheheeeeeeeeeeeeKula tumbakishie baba...kula kula tumbakishie baba...mahondaw unakumbuka huu mchezo.?
Huu wimbo mpaka leo watoto wanaupenda sana.Nakumbuka
Hahahahahaha mie teinaaaaaaaa
Ukuutiii uukuutii
Wa naazii wa naazii
Mwenzeetuu Mwenzeetuu
Kagongwaa kagongwaa
Na niinii na niinii
Na gaarii na gaarii
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa mama yake
Yeeesaa Yeeesaa yeeesaaaaaaa
Waaaaaaaaaaaaaaaqaa
Baado kidogo
Yeeesaaaaaaa yeeesaaaaaaa Yeeesaa
Waaaaaaaaaaaaaaa Bonny unakumbuka nahuu??
Dah Utoto raha sana
Tisha saaana..watoto wa digitally wanacheza hii michezo kweli.?Heheheeeeeeeeeeee
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kula mbakishie baba huku mmeweka mchanga mmeukusanya katikati tunachomeka kijiti
Dah Utoto raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] melody ndo mpango mzima!!!! To hell with wordsHa ha ha ha ulikuwa hata huelew unachoimba unaenda na melody tu
Mmnnhhh...old school...ila seriously watoto wa kizazi hiki hawajakula bata kama sisi wa 90's...it was funAnd come and sing later
Hahahaaa, huu wa kibabababa kadiri umri unavyosogea ndivyo unavyozidi kunoga.Khakhaakhaaaaa
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimecheza michezo karibia yote kasoro kibabababa ndo naucheza sana sikuhizi na rafiki yanguu mzungu
Lol Utoto raha sana