Nampenda mpendaaa!

Nampenda mpendaaa!

Tisha saaana..watoto wa digitally wanacheza hii michezo kweli.?
Hahahaahhahahaahahahahaha Bonny njoo ona swali hili umjibu lol
Mimi nilijibu ukacheka sasa zamu yako kuimba singeli za watoto wa kileo

kibumbu mkuu nilijibu Bonny akacheka kweli
Watoto wa kileo ni
Acha neeno eka njikii
Acha neeno eka njikii
 
Paprika noma umesoma English medium lakini uswaz kama kawaida.nyumbani walikua hawafungi geti na kuandika mlangoni "kuna mbwa mkali".?
 
Hahahaahhahahaahahahahaha Bonny njoo ona swali hili umjibu lol
Mimi nilijibu ukacheka sasa zamu yako kuimba singeli za watoto wa kileo

kibumbu mkuu nilijibu Bonny akacheka kweli
Watoto wa kileo ni
Acha neeno eka njikii
Acha neeno eka njikii
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimeongeza siku za kuishi
 
Hahahaaa, huu wa kibabababa kadiri umri unavyosogea ndivyo unavyozidi kunoga.

Weeee miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sahivi ni mambo ya kuimba huku rafiki mzungu akicheza kiduku na kusugua gaga tu huku mimi naimba kwa kunena kwa lugha lol
Chezea muzungu weweee dah

Utoto raha sana
cc Smart911
 
Hahahaahhahahaahahahahaha Bonny njoo ona swali hili umjibu lol
Mimi nilijibu ukacheka sasa zamu yako kuimba singeli za watoto wa kileo

kibumbu mkuu nilijibu Bonny akacheka kweli
Watoto wa kileo ni
Acha neeno eka njikii
Acha neeno eka njikii
Ha ha ha usianze bas acha neeno eka njikii ha ha ha nakapatia picha hako katoto kanakoimba hvyo daah
 
Weeee miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sahivi ni mambo ya kuimba huku rafiki mzungu akicheza kiduku na kusugua gaga tu huku mimi naimba kwa kunena kwa lugha lol

Utoto raha sana
cc 😡Smart911
Utakua mzaramo au binti wa kitanga maana ni mswahili sana wewe
 
Utakua mzaramo au binti wa kitanga maana ni mswahili sana wewe
Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hujakosea sana bado ukanda uleeee uleeee
Dah
Utoto raha sana
 
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wee nani aoge kirahisi rahisi tu???
Kwanini kuna wali siku hio mpaka nisishikiwe fimbo kuoga??

Wali maharage siku hiyo utadai maji ya kuoga kwa nguvu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Ahaa huo tena hapo tumpeleke hosptali mnataja ile maarufu ya eneo lenu halafu yesaaa yesaaaa yeeeeh hapo vidada vinarusha visket vyao

Kuna huu
Maji ya mdimu maj ya mdimu sagaaaa saga saga ufunike kubi ufunue mwaaaaaaa
Ila huu mbaya tulikuwa twachunguliana sana kwenye kufunua ikifka

Lol Bonny Wee mbaaayaaaaaaaaaaaaaaaa
Haha wewe teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Michezo mingi boys kazi yenu ni kuchungulia girls kuwavuta kuwashika viuno kujificha nao na Kuchagua mchumba
 
Wee mkareeeeeeeeeeeeee
Nimekuvumilia mkuu kumbe old model tupo wengi mwee
 
Lol Bonny Wee mbaaayaaaaaaaaaaaaaaaa
Haha wewe teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Michezo mingi boys kazi yenu ni kuchungulia girls kuwavuta kuwashika viuno kujificha nao na Kuchagua mchumba
Ha ha ha ha jamaniii was just kiduskos game no more sichungulii tena siku hzi.
Au ukutane a zile moment za komborela za jion unachagua wa kujifcha nae kabisa
Ofcourse hakuna moment u were feeling proud kama kujua mdada amevaa nguo ya namna gan unasimulia washkaj zako wotee
 
uuwiiiiiiiii
Ngoja nikuimbi mie teinaaa sema jingine

Ana ana anadoo
Asprin matidooo
Kajam,,,,,,,a huyooo
Ushz unanukaaaaa
Tena saaaanaaaa
Sana kabisaa
Eeeeeeeeeee

Imeangukia kwa naniiiii
Mndali ndanyelakakomu
Yuko wapi yuko wapi tumfinyeeeeeeeee

anamadudu12...

tumboni mwake yakitoka yanalia pwaaa .......

pwaa ikiangukia kwako ni wewe umejamba
 
Ha ha ha ha jamaniii was just kiduskos game no more sichungulii tena siku hzi.
Au ukutane a zile moment za komborela za jion unachagua wa kujifcha nae kabisa
Ofcourse hakuna moment u were feeling proud kama kujua mdada amevaa nguo ya namna gan unasimulia washkaj zako wotee
Umenirudisha kumbukumbu mbali mkuu unachagua demu wa kujificha nae..watawatafuta kweli kumbe unakula papuchi ipo ndani ya nguo."cha kinguonguo"[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mahondaw niimbie wimbo mmoja mliokua mnaimba wakati wa kuruka kamba.huku kwetu mchezo huo walikua wanaita kuruka boi
Mariamu weee
Waringa nini weeee
Kuna warembo duniani kushinda wewe Daaa

Nilikwenda daa
Darisalama daa
Nikamkuta kijana mmoja ( mbele nimesahau kidogo) manic Paprika Bonny njoo saidia kidogo hapa

Utoto raha sana
 
Back
Top Bottom