Nampenda mpendaaa!

Nampenda mpendaaa!

Ukuti ukuti wa Nazi wa Nazi...dah malizia mahondaw
Nakumbuka
Hahahahahaha mie teinaaaaaaaa

Ukuutiii uukuutii
Wa naazii wa naazii
Mwenzeetuu Mwenzeetuu
Kagongwaa kagongwaa
Na niinii na niinii
Na gaarii na gaarii
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa mama yake
Yeeesaa Yeeesaa yeeesaaaaaaa
Waaaaaaaaaaaaaaaqaa
Baado kidogo
Yeeesaaaaaaa yeeesaaaaaaa Yeeesaa
Waaaaaaaaaaaaaaa Bonny unakumbuka nahuu??
Dah Utoto raha sana
 
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ahaa huo tena hapo tumpeleke hosptali mnataja ile maarufu ya eneo lenu halafu yesaaa yesaaaa yeeeeh hapo vidada vinarusha visket vyao

Kuna huu
Maji ya mdimu maj ya mdimu sagaaaa saga saga ufunike kubi ufunue mwaaaaaaa
Ila huu mbaya tulikuwa twachunguliana sana kwenye kufunua ikifka
 
Leo nimetimiza rasmi miaka 22 tokea niachwe na dem wangu wa chekechea kisa kumchongea binti mwingine pencil
 
mabata madogo madogo yanaogelea ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kutembea bila viatu ktk shamba zuri la bustani
wanapenda kulia kwa kwa kwa kwa ktk shamba la zuri la bustani

mahondaw umenikumbusha utoto ila nilikua napenda zaidi hii michezo hii kombolela na kibaba na mama hivi hakuna nyimbo zake [emoji23][emoji23]
Come on my girl, nyie ma sistadu mnajifanya ma old skuli.
 
Mi wa english medium nilikua najitahidi kupatia tumaneno [emoji23][emoji23][emoji23]

Bysho I love you baby
To the baby to the saa
The sa to the yona
To the yona to the mi
The mi to the pushdea
Terewa tu triii fo
Terewa... Takata kona!!!
Ha ha ha ha ulikuwa hata huelew unachoimba unaenda na melody tu
 
Kula tumbakishie baba...kula kula tumbakishie baba...mahondaw unakumbuka huu mchezo.?
 
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Khakhaakhaaaaa
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimecheza michezo karibia yote kasoro kibabababa ndo naucheza sana sikuhizi na rafiki yanguu mzungu

Lol Utoto raha sana
 
Kula tumbakishie baba...kula kula tumbakishie baba...mahondaw unakumbuka huu mchezo.?
Heheheeeeeeeeeeee
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kula mbakishie baba huku mmeweka mchanga mmeukusanya katikati tunachomeka kijiti cha baba

Dah Utoto raha sana
 
Nakumbuka
Hahahahahaha mie teinaaaaaaaa

Ukuutiii uukuutii
Wa naazii wa naazii
Mwenzeetuu Mwenzeetuu
Kagongwaa kagongwaa
Na niinii na niinii
Na gaarii na gaarii
Tumpeleke hospitali asije kusema kwa mama yake
Yeeesaa Yeeesaa yeeesaaaaaaa
Waaaaaaaaaaaaaaaqaa
Baado kidogo
Yeeesaaaaaaa yeeesaaaaaaa Yeeesaa
Waaaaaaaaaaaaaaa Bonny unakumbuka nahuu??
Dah Utoto raha sana
Huu wimbo mpaka leo watoto wanaupenda sana.
 
Heheheeeeeeeeeeee
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kula mbakishie baba huku mmeweka mchanga mmeukusanya katikati tunachomeka kijiti

Dah Utoto raha sana
Tisha saaana..watoto wa digitally wanacheza hii michezo kweli.?
 
Mahondaw niimbie wimbo mmoja mliokua mnaimba wakati wa kuruka kamba.huku kwetu mchezo huo walikua wanaita kuruka boi
 
Khakhaakhaaaaa
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimecheza michezo karibia yote kasoro kibabababa ndo naucheza sana sikuhizi na rafiki yanguu mzungu

Lol Utoto raha sana
Hahahaaa, huu wa kibabababa kadiri umri unavyosogea ndivyo unavyozidi kunoga.
 
Back
Top Bottom