Hahahaahhahahaahahahahaha Bonny njoo ona swali hili umjibu lolTisha saaana..watoto wa digitally wanacheza hii michezo kweli.?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimeongeza siku za kuishi
Hahahaaa, huu wa kibabababa kadiri umri unavyosogea ndivyo unavyozidi kunoga.
Ha ha ha usianze bas acha neeno eka njikii ha ha ha nakapatia picha hako katoto kanakoimba hvyo daah
Utakua mzaramo au binti wa kitanga maana ni mswahili sana weweWeeee miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sahivi ni mambo ya kuimba huku rafiki mzungu akicheza kiduku na kusugua gaga tu huku mimi naimba kwa kunena kwa lugha lol
Utoto raha sana
cc 😡Smart911
We kiboko..nadhani muda wa kuoga ilikua vita na mama nyumbani..kutafutana mitaa ya saba,vipi kombolera umecheza?maana ndio mchezo niliokua naupenda[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wali maharage siku hiyo utadai maji ya kuoga kwa nguvu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wee nani aoge kirahisi rahisi tu???
Kwanini kuna wali siku hio mpaka nisishikiwe fimbo kuoga??
Hahahaahhahahaahahahahaha
Utoto raha sana
Ahaa huo tena hapo tumpeleke hosptali mnataja ile maarufu ya eneo lenu halafu yesaaa yesaaaa yeeeeh hapo vidada vinarusha visket vyao
Kuna huu
Maji ya mdimu maj ya mdimu sagaaaa saga saga ufunike kubi ufunue mwaaaaaaa
Ila huu mbaya tulikuwa twachunguliana sana kwenye kufunua ikifka
Ahaa huo tena hapo tumpeleke hosptali mnataja ile maarufu ya eneo lenu halafu yesaaa yesaaaa yeeeeh hapo vidada vinarusha visket vyao
Kuna huu
Maji ya mdimu maj ya mdimu sagaaaa saga saga ufunike kubi ufunue mwaaaaaaa
Ila huu mbaya tulikuwa twachunguliana sana kwenye kufunua ikifka
Ha ha ha ha jamaniii was just kiduskos game no more sichungulii tena siku hzi.Lol Bonny Wee mbaaayaaaaaaaaaaaaaaaa
Haha wewe teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Michezo mingi boys kazi yenu ni kuchungulia girls kuwavuta kuwashika viuno kujificha nao na Kuchagua mchumba
Miss sana miaka ileHahahaahhahahaahahahahaha
Wee mkareeeeeeeeeeeeee
Nimekuvumilia mkuu kumbe old model tupo wengi mwee
uuwiiiiiiiii
Ngoja nikuimbi mie teinaaa sema jingine
Ana ana anadoo
Asprin matidooo
Kajam,,,,,,,a huyooo
Ushz unanukaaaaa
Tena saaaanaaaa
Sana kabisaa
Eeeeeeeeeee
Imeangukia kwa naniiiii
Mndali ndanyelakakomu
Yuko wapi yuko wapi tumfinyeeeeeeeee
Umenirudisha kumbukumbu mbali mkuu unachagua demu wa kujificha nae..watawatafuta kweli kumbe unakula papuchi ipo ndani ya nguo."cha kinguonguo"[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ha ha ha ha jamaniii was just kiduskos game no more sichungulii tena siku hzi.
Au ukutane a zile moment za komborela za jion unachagua wa kujifcha nae kabisa
Ofcourse hakuna moment u were feeling proud kama kujua mdada amevaa nguo ya namna gan unasimulia washkaj zako wotee
Mariamu weeeMahondaw niimbie wimbo mmoja mliokua mnaimba wakati wa kuruka kamba.huku kwetu mchezo huo walikua wanaita kuruka boi