manic
Member
- Jan 20, 2017
- 65
- 80
"Bibiii!!!! Kajabwela tumbooo kamsokota katumbaku bweeeelaaaaaaa""""Imba tu jamani jikumbushie utotoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Bibiii!!!! Kajabwela tumbooo kamsokota katumbaku bweeeelaaaaaaa""""Imba tu jamani jikumbushie utotoni
Sasa ukumganda hivyo anafanya saa ngapi kaziLol vibaya hivooo shogaa
Namchungaaa
Namganda kila kona
Simpi hata upenyoo
Akilala ninae akiamka ninae bafuni ninae sebuleni ninae chumbani ninaee
Yani hapumuiii
Mi sijui kuimba labda imba kwa niaba yanguTunajikumbusha utotoni
Wee Imba tu
Au una sauti mbaya?!
Niliona uzi mmoja unakusifia eti una chura..Nikacheka siku nzimayupo humu?
Tehteh lazima amuimbie mwingine ili wote waishe otherwise wengine watakosa kutajwa na watanuna hawatacheza tena siku nyingineHalafu unakuta uliyemuimbia hivyo ikifika zamu yake anamuimbia mtu mwingine..Unabaki unaduwaa tu
Binadamu ni hatari sana, watamuiba tu hasa huyu shoga yako miss chagga.Lol vibaya hivooo shogaa
Namchungaaa
Namganda kila kona
Simpi hata upenyoo
Akilala ninae akiamka ninae bafuni ninae sebuleni ninae chumbani ninaee
Yani hapumuiii
sasa kaka kwa nini unacheka ati ? unatakiwa umezee tuNiliona uzi mmoja unakusifia eti una chura..Nikacheka siku nzima
atakuwa haendi kutafuta pesa ? nitamkamata kaziniLol vibaya hivooo shogaa
Namchungaaa
Namganda kila kona
Simpi hata upenyoo
Akilala ninae akiamka ninae bafuni ninae sebuleni ninae chumbani ninaee
Yani hapumuiii
uuwiiiiiiiiiMi sijui kuimba labda imba kwa niaba yangu
Kweli utoto rahauuwiiiiiiiii
Ngoja nikuimbi mie teinaaa sema jingine
Ana ana anadoo
Asprin matidooo
Kajam,,,,,,,a huyooo
Ushz unanukaaaaa
Tena saaaanaaaa
Sana kabisaa
Eeeeeeeeeee
Imeangukia kwa naniiiii
Mndali ndanyelakakomu
Yuko wapi yuko wapi tumfinyeeeeeeeee
Sure..Starting over is not always a bad thing..Kila Mwanzo unaanzia pale mwisho ulipoishiaTehteh lazima amuimbie mwingine ili wote waishe otherwise wengine watakosa kutajwa na watanuna hawatacheza tena siku nyingine
Teh Kaboom Why give second chances while others are waiting for their first??
Ndo mana nikapita kimya Sista..Nisije kosa shemeji buresasa kaka kwa nini unacheka ati ? unatakiwa umezee tu
vizuri kaka .. asanteNdo mana nikapita kimya Sista..Nisije kosa shemeji bure
hahahaa hii nyimbo ilinimfanya rafiki yang ale kichapo cha maana ..alimtaja manzi mmoja anaitwa beusi na ile nivunje kikombe nisifunjee........watu vunjaaaaaaaaaaaaa
ukimsikiaaaaaaa.......Haji mchumba wake ... ......watu vunjaaaaaaaaa........ beusi haaahahaahaaa alikula kichapo heavy
NikaimbejNdo unataka ukaimbe huko mkuu??