Umenikumbusha kitu kuna dem nlimwambia nampenda nae akanijibu "Asante sana jamani" .. nikabak najiuliza Sasa niendeleeje nisemeje tena hapa, akanimaliza nguvu bora hata angeniambia sihitaj kuwa kwenye mahusiano ili nijue najiteteajebinadamu wote tunatakiwa kupendana ndo maana unakuta unajibiwa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Art ya kutongoza imeondoka siku hizi. Hapo wengekua ni vijana wa zamani wangejua wanapandisha vipi mistariUmenikumbusha kitu kuna dem nlimwambia nampenda nae akanijibu "Asante sana jamani" .. nikabak najiuliza Sasa niendeleeje nisemeje tena hapa, akanimaliza nguvu bora hata angeniambia sihitaj kuwa kwenye mahusiano ili nijue najiteteaje
ile ana kwa ana skuiz imekua ngum sana tukinyang'anywa simu masingo boy tutakuwa weng Sana mtaani, maana ngao ya sasa ni kuombana namba za simu ndo unakua na ujasiri wa kujibu maana unafikiria kwanza hapa nisemeje[emoji3][emoji3] kitu ambacho ingekua ni ana kwa ana hapo hamna mda wa kufikiria ni kumwaga sera tuArt ya kutongoza imeondoka siku hizi. Hapo wengekua ni vijana wa zamani wangejua wanapandisha vipi mistari
Siku hizi pesa, simu, magari na vitu vingine vimekua ni nyenzo za kutongozea. Mambo yamebadilika
eeh alikujibu jibu sahihi kabisaUmenikumbusha kitu kuna dem nlimwambia nampenda nae akanijibu "Asante sana jamani" .. nikabak najiuliza Sasa niendeleeje nisemeje tena hapa, akanimaliza nguvu bora hata angeniambia sihitaj kuwa kwenye mahusiano ili nijue najiteteaje
DuuhJamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
Nyuzi nyingine za kiwaki sana ila zinapata wachangiaji ila Uzi kama huu nikianzisha Mimi utabuma.
Atakua amesha kusikia kukubali na kukataa ni hiyari yake.
Wera wera weraaaaa....bestito shoga wa mie mumu kuja pande hii, ushazimikiwa huku
HahahaOh my Gawd!!!....[emoji85][emoji85]