Nampenda Mumu

Nampenda Mumu

binadamu wote tunatakiwa kupendana ndo maana unakuta unajibiwa hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha kitu kuna dem nlimwambia nampenda nae akanijibu "Asante sana jamani" .. nikabak najiuliza Sasa niendeleeje nisemeje tena hapa, akanimaliza nguvu bora hata angeniambia sihitaj kuwa kwenye mahusiano ili nijue najiteteaje
 
Art ya kutongoza imeondoka siku hizi. Hapo wengekua ni vijana wa zamani wangejua wanapandisha vipi mistari

Siku hizi pesa, simu, magari na vitu vingine vimekua ni nyenzo za kutongozea. Mambo yamebadilika
 
ile ana kwa ana skuiz imekua ngum sana tukinyang'anywa simu masingo boy tutakuwa weng Sana mtaani, maana ngao ya sasa ni kuombana namba za simu ndo unakua na ujasiri wa kujibu maana unafikiria kwanza hapa nisemeje[emoji3][emoji3] kitu ambacho ingekua ni ana kwa ana hapo hamna mda wa kufikiria ni kumwaga sera tu
 
Umenikumbusha kitu kuna dem nlimwambia nampenda nae akanijibu "Asante sana jamani" .. nikabak najiuliza Sasa niendeleeje nisemeje tena hapa, akanimaliza nguvu bora hata angeniambia sihitaj kuwa kwenye mahusiano ili nijue najiteteaje
eeh alikujibu jibu sahihi kabisa
 
Nyuzi nyingine za kiwaki sana ila zinapata wachangiaji ila Uzi kama huu nikianzisha Mimi utabuma.
 
Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
Duuh
 
Back
Top Bottom