Nampenda Mumu

Nampenda Mumu

Jamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
Utajuaje kama ni she or he ? Usikute ana tumia jina fake ,ukute unampenda dume MUMU.BE CAREFULLY MAN
 
Guys why naonekana wa ajabu for some people who thinks they`re smarter,huu sio upuuzi,this shit is real,and here ain`t no multi ID`s,simjui huyu mwanamke,but i truly got feelings for her,you people understand an respect my feelings....nipeni support nimpate,acheni figisu na wivu wa kike guys,is it not good to love someone thats why you hate?Mumu
nampenda kweli kwa taarifa yenu,hay tuendelee na maoni sasa,hasa maoni chanya including modern tactics zitakazonifanya niung`oe huu mbuyu!
 
nyege mbaya sana, nenda kimboka pale kapunguze uzito , then njoo futa hii meffi !
 
Back
Top Bottom