Nampenda Mumu

Umefanya jambo la kishujaa sana mkuu, huo ndio uanaume. Mwanume ni kama mnyama simba. Simba haogopi kuwinda eti kwa sababu atazidiwa mbio, na akisosa hakuna anaemshangaa. Haijawahi kua aibu wala vibaya kwa mwanaume kutongoza wala haijawahi kua vibaya wala aibu kwa mwanamke kutongozwa, on the contrary hiyo ni sifa. Ama kukubaliwa nau kukataliwa hilo ni jambo jingine ila ni yakawaida pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…