Nampenda Mungu tu

Bora mleta mada amajitambua ,sasa unakuta maboy wanateswa na mapenzi mpka kuja kulalamika humuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mhhhh, huyu mwenzetu kavurugwa. Naona aliolewa kipindi cha Ramadhani na sasa anaimba wimbo wa Harmonize niko Single Again.
 
Japo walio serious wapo ila nao hawaamini mapenz ya humu. ..ivo kumpata MTU bora ni ngumu
Sidhani lsio Kwa sisi ambao tunatak kuanzisha familia nafikiri hapa sio sehemu salama sana tukutane huko mitaani yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…