Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Hapo ni kunyamaza hakuna namnaNafanyeje sasa na akati bikra sijapewa mimi..!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni kunyamaza hakuna namnaNafanyeje sasa na akati bikra sijapewa mimi..!!??
🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣mjukuu wa Hitler
Acha kumpoteza mwenzio bc muelekeze tu vzr mapenzi ya humu hayana tofauti na kulogin na kulog out😂😂😂humu hutakiwi kuwa na mpenz cute....utaumia kilasiku
Mkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅Bwanaee uzi umejieleza wazi kuwa huyo jamaa ana mishangazi na hapo kwenye mishangazi hauna mpinzani 🤣🤣🤣
Ww ni Mzee wa behind the scene sana, ila hii sekta ni yako 😅😅Mi sampuli zangu dogo dogo[emoji4]
Dah mwanangu unanipa msala wako, aina noma 😅😅😅Ha ha ha......Uzi ulikuhusu kbs huu[emoji1]
Nipo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wee jamaa nikisoma comment zako nawaza jins ulivo km nakuona vile
Tatizo kura imekudondokea wewe 😀😀Mkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅
Ndio mkuu ndio Siraha yangu pendwa boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bado unahonga kiepe tu mkuu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha....huwa unanifurahisha Sana mkuu, big up[emoji106]Nipo mkuu
Asante sana mkuu, nipo japo kwa sasa nachungulia chungulia kidogo,Ha ha ha....huwa unanifurahisha Sana mkuu, big up[emoji106]
Lakini nimeona kama kakutaja hivi unataka kusema kakuchanganya wewe na Carrasco?🤭🤣Demu wa Carrasco huyo. Mm sihusiki 😅😅
Jiangalie wewe jimbo la mjeremani hilo 😅
Sasa mm sio mjerumani. Mm ni mbantu pyua 😅Jiangalie wewe jimbo la mjeremani hilo 😅
Eh aiseeMkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅