Nampenda mwanaume anaevaa miwani

samua

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
1,029
Reaction score
708
Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
 
There is nothing wrong with that one! Kila shetani na mbuyu wake...

hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Badala ya kukuchamba, nakudediketia wimbo, 'Kaka miwani ninavyokupenda ntakunywa sumu juu yako, siyo siri naumiaaaaa, naumiaaa'...

Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…