Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Others take it for leisureMmh. Lait ungejua hawaivai kwa kupenda wala usingesema mumy. Ila hongera kwa kufunguka.
Subiri wavaa miwani waje.
The Great Gatsby
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Others take it for leisureMmh. Lait ungejua hawaivai kwa kupenda wala usingesema mumy. Ila hongera kwa kufunguka.
Subiri wavaa miwani waje.
Sawa KatlegoUna nyege na miwani.Hongera.
Lakini akifika kitandani anaivua
Ila yeye kasemea wale wanaovaa ile ya ugonjwa.Others take it for leisure
The Great Gatsby
Hahaaa. Hiyo tena.kama yangu?
Hii itakuwa mawani nyekundu
Na mibuyu ikiisha na kupotea duniani??There is nothing wrong with that one! Kila shetani na mbuyu wake...
DuuuhHabari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
Una nyege na miwani.Hongera.
Lakini akifika kitandani anaivua
je ile miwani isiyokuwa na glass[emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kama yangu?