Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Nimefurahi kufunguka kwa hisia zako. Big up. Finally utakuwa nae wa hitajio lako kwa kigezo chako. Keep on praying siyo bora awe mvaa miwani but awe mvaa miwani atakaekujali na kukupenda ambae nawe utakuwa umempenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru-Kenyatta-Kenyas-dep-010.jpg
Hii itakuwa mawani nyekundu
 
Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
Duuuh
 
Sifa ya mwanaumeeeee. Mwanaume mashine

Sio miwani

Maneno ya msaga sumu hayo
 
Habari za leo wanajf........hope mko vizuri siku ya leo
hahaha mwenzenu nikiona mwanaume amevaa miwani hasa ile meupe ya wagonjwa macho nachanganyikiwa natamani anifate.....sio siri inawapendeza wanavutia tunabaki kuumia tuu rohoni.....
Ruhusa kunichamba lkn nshasema ukweli wangu
je ile miwani isiyokuwa na glass[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nakwenda_Zimbabwe
 
Back
Top Bottom