Nampenda mwanaume anaevaa miwani

Sishangai huku ndo dunia ya tatu ugonjwa unakuwa fashion
Mfano:: ugonjwa wa (obesity) kitambi ni ufahari ukiwa nao Tanzania
 
Huyu magu alegeze kidogo aisee.
Imeanza lazima awe na Degree au zaid, mara awe mrefu, wengine oooh no kibamia, halafu awe na pesa. hahhahahhaa

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Kesho kutwa utawasikia mimi nikiwaona wapiga debe nawapenda na zile ndara zao rangi tofauti, shubhaaamiti
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]


[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…