Nampenda mwanaume mkorofi kiana....ni kweli?

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,578
Reaction score
7,774
"Mwanaume kila kitu unachomwambia yeye ni sawa tu,na hata ukimkosea haonyeshi kukerwa na kosa_aaah mwanaume gani wa hivyo bana,mwanaume ni lazima achukue nafasi yake bwana"....siyo maneno yangu,ni maneno ya wadada/warembo niliokutana nao jana maeneo fulan huku tukijiuguza na mgao wa umeme.

My take:Je,..dada zetu mnapenda mwanaume wa aina ipi?...mkorofi kiasi vs mpole sana

I submitt,
 
Akiwa mpole sana naye kuna madhara yake na pia akiwa mkorofi sana pia taabu, awe 50/50.
 
ustaarab unapimwaje?
ustaarab wa wabunge ndio dhihaka/umakalio wa Masubiri.
ustaarab wa masubiri ni ufisadi kwa wabunge

ahahahahahahaaaaaaaaaaaa!,...masaburi bana......ni kweli ustaarabu ni subjective term
 
Akiwa mpole sana naye kuna madhara yake na pia akiwa mkorofi sana pia taabu, awe 50/50.
hata wao(i mean hao wadada) walimaanisha hicho hasa,...anyway if i got them right
 
i acknowledge a receipt of your submission, i hereby render my observations/ comments:-
1- kama sijakosea hii mada ni kwa wanawake tuu
2-Sie wanaume hatuna haki yoyote kimsingi kuchangia juu ya hayo uloyasikia kijiweni ukisubiria umeme urudi
3- wamiliki wa forum hii wanatakiwa kuanzisha vyumba maalumu vya kujadilia hoja za jinsia mbalimbali ili siku ingine isitokee mada kama hii inayohitaji kuchangiwa na jinsia "mke" ikatufanya watu wa jinsia "mme" kujiingiza humo
4- huwa unakaa vijiwe vya wanawake au huwa unapiga-chabo maongezi ya kina-mama na uloyatoa hapa ni ushahidi tosha kuwa nawe ni mwanamke
5- huelewi "unatakiwa kuwa aina gani ya mwanaume-proper mpaka upate mtazamo wa wanawake wanavyo-define a proper man" hii ki-saikolojia unaonekana kama unahitaji kumwona mshauri.
6- nashawishika kuamini kuwa "huna kifua" cha kuweka mambo unayosikia na kuyatafakari kwa kina mpaka uyalete hapa... sio kila hear-says zinatakiwa ku-go public

HAYA NILIYOYATOA HAPO JUU NI MAONI NA MTAZAMO WANGU BINAFSI JINSI NILIVYOIONA HII MADA...NOTHING PERSONAL OR INTENTIONAL OFFENSE TO MTOA MADA NA WENGINEO.
 
Akiwa mpole sana wala mkali sio dili, muhimu akupe mambo,mboo tamu,pana na ya mvuto
 
duuh! Ilibaki kidogo niropoke kumbe swal kwa wadada mm ninapita tuuu
 
wapenwa,

napenda sana mwanume mcha Mungu!

1. anayejua na ku-appreciate utu na ubinadamu wake na wa wengine,
2. anayejua na kuappreciate jumuiya takatifu ya familia
3. anayejitoa kwa ajili ya familia yake kama vile Kristo alyojitoa kwa ajili ya kanisa! na
4. afanyae kila kitu kwa ajili ya utukufu wa Mungu hata kama ni "kumchapa mtu makofi" achape makofi kwa ajili yaukufu wa Mungu!

mbarikiwe sana wapendwa

Glory to God!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…