KabisaIshu ya lisu na Ben Rabiu Saanane zinaumiza sana watu hasa wenye akili sio wa vijijini
Kama Mimi,Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako audondoshe. Kwa maana ya ccm.
Simpendi sa100, ni dhaifu kwenye uongozi na hafai kabisaMimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako audondoshe. Kwa maana ya ccm.