Nampenda sana huyu binti kwa kweli

Nampenda sana huyu binti kwa kweli

Dah! Hapo ni maji marefu! Swagga zake utaziweza?
 
Ni mrembo kwakweli, alishakuwa Miss mwaka fulani.
Angalizo: Ni GF wa Hashim basketballer, alishakwenda naye hadi Marekani na kuishi nyumba moja.
Ila kila mtu na bahati yake, jaribu kaka maana sidhani kama ameshafanya maamuzi.
 
Ni mrembo kwakweli, alishakuwa Miss mwaka fulani.
Angalizo: Ni GF wa Hashim basketballer, alishakwenda naye hadi Marekani na kuishi nyumba moja.
Ila kila mtu na bahati yake, jaribu kaka maana sidhani kama ameshafanya maamuzi.
Sioni kama hiyo inaweza kuwa shida, yeye ndio muamuzi, hata HS nae alikuwa na mawazo kama yangu mwisho wa siku akafanikisha, so acha nijaribu bahati inaweza kuwa kwangu pia
 
View attachment 32130
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha hili nitafurahi sana.


ni kiswahili hujui au? hujampenda sema amekuvutia kimapenzi(vitu viwili tofauti),huwezi sema umempenda mtu kwa kumwona tu kwa macho,na hapa ndo vijana wengi mnapoingia chaka na kufanya maamuzi si sahihi,mwanamke/mwanaume wa kuingia nae maisha ya ndoa haitoshi tu uvutiwe nae pia umpende!na kupenda si kitu cha ghafla,au cha siku mbili,tatu....mpaka unasema unampenda mtu lazima kuna hatua umeshazipita.
kitu ambacho unahisi wewe kwa dada huyo kwa sasa kinaweza baadaye kutoweka ghafa,j(apo sio lazima) sorry boss ananiita nitarudi baadye niendelee 2peane maarifa.
 
Mawazo yangu..
  • Ni mtu akipewa kazi yuko reliable.. and committed
  • Tokana na position yake scandal zake very minimal
  • Ana swagger za kizungu saana tu but dharau sio kivele
  • She is strong, alipata scandal ya ngono (ze utamu) but haikumteteresha physically
  • Hana mashauzi (wakati yupo UDSM) alikua anaishi maisha ya kawaida,
clothing decent and too ordinary nafikiri alikua anapunguza attention juu yake


INAWEZEKANA niko biased, for I do adore her... Hongera zake dogo

Ashadii ... scandal zake sio very minimal ila ziko "very hidden" .... fuatilia sakata lake na "mchunga kondoo wa bwana" fulani hv aliyewahi kuhudumu pale mikocheni ... hata huyo HT anakula na wenziwe ... sema binti ni mjanja ... analiwa na watu wasio na mapepe ... hii imemsaidia sana kutoku-raise attention ya wadaku wa shigongo ... sasa hapo kwa HT sijui imekuwaje ...
 
omba namba kwa hashiimu...

swaga za kizungu unazo baba?
usije ukaboleka bure we wwataka swaga za kibena yeye analeta za broklyn...

i knw her.

kwa fashen show poa bt for woman to mary hapana NOOO!!!!!!!!!!![/QUOTE]

Kweli?Haka kabinti mbona kalikuwa kametulia tu toka kanasoma kule Mbagala-St. Anthony's.Au wameshakaharibu mapedeshee?
 
Ashadii ... scandal zake sio very minimal ila ziko "very hidden" .... fuatilia sakata lake na "mchunga kondoo wa bwana" fulani hv aliyewahi kuhudumu pale mikocheni ... hata huyo HT anakula na wenziwe ... sema binti ni mjanja ... analiwa na watu wasio na mapepe ... hii imemsaidia sana kutoku-raise attention ya wadaku wa shigongo ... sasa hapo kwa HT sijui imekuwaje ...


Thats the thing, nakubaliana nawe.. watu woote huliwa... issue ni
kuchaguwa uliwe kwa staili gani... kuna dada wana scandal in media
unakuta kwa mwaka dabadilisha guys maybe wanne but kuna mwingine
yeye daima ana multitask wanaume but husikii...
 
Miche kama 600 imetwanga kinu hapo utaumiza kichwa...Mtafute Mr. Constantine Magavilla wa Airtel ni kaka yake I think atakupa namba yake ila huyo binti pasua kichwa vibaya sana kuwa makini....
 
Nimeona hakuna hata mmoja mwenye nia ya ksaidia kwenye hili jambo zaidi ya kuelezea anafahamika vp, ila sio mbaya bado nahitaji msaada kwenye hilo
 
Kusema ni ushujaa haijalishi mtu ni wa aina gani,jambo la msingi ni kuwa yeye ni mwanadam na ana hisia kama wengine!Go on u have ma blessings!!
 
Joji .....siyo kila njozi lazima uitimize....Unaweza kujisababishia ugonjwa wa moyo. Kwani huwezi kula kwa macho ukalala?

Shauri yako...usijesema kwamba hatukukueleza!
 
omba namba kwa hashiimu...swaga za kizungu unazo baba?usije ukaboleka bure we wwataka swaga za kibena yeye analeta za broklyn...i knw her.kwa fashen show poa bt for woman to mary hapana NOOO!!!!!!!!!!!
teh teh umenikumbusha mbali sana .fashion show wanatesa na wanapenda swaga za broklyn usipime
 
omba namba kwa hashiimu...

swaga za kizungu unazo baba?
usije ukaboleka bure we wwataka swaga za kibena yeye analeta za broklyn...

i knw her.

kwa fashen show poa bt for woman to mary hapana NOOO!!!!!!!!!!!

Hapo unaboa watu kwa kweli!
 
Kila la heri mkuu, achana na wanaokuvunja moyo....
 
Back
Top Bottom