Nampenda sana huyu dada Sky Eclat

Nampenda sana huyu dada Sky Eclat

Wandugu habarin jamani, kiukweli nikiona coment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni! Yaan najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwa nini!
Wewe dada kama unaishi dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app

MCHEKI Mshana Jr atakupa mwongozo..... wote huwa wapo kwenye jukwaa la usiku wa manane..
 
Mpaka hii post ya 44 Sky Eclat ajatokea najiuliza kama ingekuwa pm may be ingechukua miezi kujibu pm zako . Samahani sina nia mbaya sky eclat
 
Ana stories nyingi fictional, she's smart but undefined. Leo kakutana na mlokole, kesho andunje wa kichina, keshokutwa hajaolewa wala hana boyfriend, lakini mtondo mume amechelewa kurudi home hadi asubuhi.

Anaishi kwa mtogole lakini akikupigia stories za lotion, perfumes na snickers hakika haendani hata na buguruni. Stories za mashosti ndio usiseme...teh teh
Sky Eclat i'm just playing around, don't mind me.
Ooooh hahahaha aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu habarini jamani,

Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwanini.

Wewe dada kama unaishi Dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu
 
Mkuu huyo ukiwa naye nadhani hutaboreka kwa stori. Maana mda wowote anaweza anza kwambia "Rafiki wa shemeji yake ameachishwa kazi mumshauri...., mara shosti yake kaolewa na jamaa ana kibamia"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
hata mie namkubali sana huyu mdada nahisi nishawahi muinbox ila sikupata majibu ya salam yangu
 
Wandugu habarini jamani,

Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwanini.

Wewe dada kama unaishi Dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona PM haijatosha mpaka ukaamua kuandika Uzi humu jamvi

Moyo sukuma damu c vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana stories nyingi fictional, she's smart but undefined. Leo kakutana na mlokole, kesho andunje wa kichina, keshokutwa hajaolewa wala hana boyfriend, lakini mtondo mume amechelewa kurudi home hadi asubuhi.

Anaishi kwa mtogole lakini akikupigia stories za lotion, perfumes na snickers hakika haendani hata na buguruni. Stories za mashosti ndio usiseme...teh teh
Sky Eclat i'm just playing around, don't mind me.
mara alikwenda nigeria, akapata bwana mghana ofisini ambayo ipo posta
 
Back
Top Bottom