Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
Hivi sio mke wa mtu huyo?
nke ya ntu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi sio mke wa mtu huyo?
Wandugu habarin jamani, kiukweli nikiona coment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni! Yaan najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwa nini!
Wewe dada kama unaishi dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwasiliana ni kuhusiana pia
Vita ta Sky Eclat haijawahi kumuacha mtu salama....Inabidi nikupeleke kwa mkemia mkuu ukapimwe mkojo kwa kosa la kuvamia nafasi ya mkuu Joseverest
Ooooh hahahaha aiseeeAna stories nyingi fictional, she's smart but undefined. Leo kakutana na mlokole, kesho andunje wa kichina, keshokutwa hajaolewa wala hana boyfriend, lakini mtondo mume amechelewa kurudi home hadi asubuhi.
Anaishi kwa mtogole lakini akikupigia stories za lotion, perfumes na snickers hakika haendani hata na buguruni. Stories za mashosti ndio usiseme...teh teh
Sky Eclat i'm just playing around, don't mind me.
Asante MkuuWandugu habarini jamani,
Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwanini.
Wewe dada kama unaishi Dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hii jibu yako itakuwa imeusagasaga mtima wake vilivyo..Asante Mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu huyo ukiwa naye nadhani hutaboreka kwa stori. Maana mda wowote anaweza anza kwambia "Rafiki wa shemeji yake ameachishwa kazi mumshauri...., mara shosti yake kaolewa na jamaa ana kibamia"
Haaaaa haaaaa teh!Mkuu kama una kibamia pita kushoto maana ndo zake hizo kutangaza vibamia.
na wewe ukimpenda jumla mtakuwa kama 100 hivi mpo kwenye mbio za vijitiSijui na mimi nimpende.....ngoja niwaze.......
kumbe ww ni me?Demuu wangu huyoo ohooo
Naona PM haijatosha mpaka ukaamua kuandika Uzi humu jamviWandugu habarini jamani,
Kiukweli nikiona comment au uzi wowote kutoka kwa huyu mdada anaejiita Sky Eclat huwa najisikia raha sana moyoni. Yaani najishangaa nampenda tu binti bila kumuona na sijui kwanini.
Wewe dada kama unaishi Dar naomba nikutafute japo nikuone tu mwenzio.
Sent using Jamii Forums mobile app
mara alikwenda nigeria, akapata bwana mghana ofisini ambayo ipo postaAna stories nyingi fictional, she's smart but undefined. Leo kakutana na mlokole, kesho andunje wa kichina, keshokutwa hajaolewa wala hana boyfriend, lakini mtondo mume amechelewa kurudi home hadi asubuhi.