Nampenda sana ila hanielewi

hahahahah!kama unampenda kweli ukimrudishia picha yake wewe baki na nega..teh teh ukimkumbuka unaenda kuisafisha,(hivi mpaka leo mapicha ya nega bado yapo kweli)

asiangaike hvyo kama manzi wake yupo fb a download pich yake alafu akaisafishe then ampelekee amwambie hivii nilikurudishia ile maana nilikua na nyingine hi hapa my sweet anaweza akarudisha moyo nyuma
 
Umetikisa kiberiti kimetikisika...doh pole mkuu...mfate tena mwambie yaishe ulikuwa na hasira tu.
 
Ulikurupuka kusema basi wakati bado unapenda? rudi kamwambie unapenda na mweleze msimamo wako kwake..........
 
Jana kuna maza anakaa nae nyumba moja alinambia ametumwa aje aniombee msamaha maana,nifanyaje wakuu!
 
Pole jamani...kwa hiyo picha yake huitaki tena? Hata kwa kumbukumbu tu?
 
Ha ha ha, jamaa amenikumbusha mbali huyu, eti kurudisha picha daaah imekaa kinanalog hiyo...

Sent from my iPhone using JamiiForums app


Hahahaha......si unajuwa tena old is gold mzee....
 
Yaan kusikiaa tu mi mpaka nioneee bila ya hivyo siachii mtuuu
 
Young blood..Get your $#!t together. ...don't be a crybaby. ..
 
 
update please.
Update please.Ten years later
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…