Nampenda sana Mahondaw

nimehakikisha hainipiti comment ...

Ngoja niende msalani hali ya hewa ikitulia mnibwipu maana si kwa tumbo la kuhara hili

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Easy easy mama
 
Hii thread naona ishakua ngumu mtakuja kunipa feed back mwisho wake
 
Hahahahahahahahahahaha,ngoja tu ncheke manake story za humu zinafuraisha.Nkitukanwa sawa.
 
Mate japo kama umepanik ila kwa hili nakuunga mguu. Calm down tho!!

Naachaje kupanic mate Smart911 ungemuona hapa jamanii hapa nimepiga magoti galagala sana omba msamaha kwa kiluga hata kama haelewi kiluga chetu wapiiiii

Mwelezea vya kueleza jamani Smart911 mylove I don't know the man ndokwanza nimemuona leo hapa kwenye huu uzi elezea sana tu kuwa Smart911 this is planned makusudikaly kabisa to ruin our relationship wapiiiii ananiangaliaaa kwa hasira kweli as if I know what is going mahondaw miye sina ninachokijua Smart911 wangu try to understand your mahondaw puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz
 
Siku izi, kama kuonga unaonga kimiya kimiya kwa sababu kuna wadada wakali sana usiku wapo barabarani wanajiuza. Wengineo wapo Bongo Movie wanajiuza hatari sana [emoji145]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…